Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Monday, November 15, 2010

Mabadiliko kidogo katika mawasiliano.

Ndugu watanzania wenzangu pamoja wapenzi wa blog hii.

Napenda kuwajulisha kuwa nimefanya mabadiliko kidogo katika suala la mawasiliano. Nimeamua kubadilisha primary contact ambayo kuanzia sasa nitapenda kupata ujumbe pamoja na profile zenu kupitia wabongomeetinfo@gmail.com badala ya comcast.

Nimeamua kubadilisha ili iwe rahisi kwangu kutumia POP3 features iliyoko kwenye gmail, vilevile nilikuwa nafikiria kuwa na line ya simu kupitia Gvoice ambayo mtu anaweza kupiga na ku-request chochote kinachotolewa na hii blog. Kwa wale ambao watatumia Comcast domain bado emails zao nitazipata lakini sitaweza kuzi-access mapema kuliko za Gmail kwa sababu ya POP3 feature kwenye mobile gadget niliyonayo.

Naomba niombe samahani kwa usumbufu huo.

Tafadhali unashauriwa kutumia email hii hapa kwa mawasiliano ya haraka.

wabongomeetinfo@gmail.com

Natanguliza shukrani.