Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Saturday, August 15, 2009

Watafutao wachumba/ Marafiki katika picha.Name: ADONAYA PETER.
I'm a boy aged 28years old, educated Information Technology (IT), employed as a teacher at Mtwango Secondary School for two years now. I'm interested to chat, read novels, listen to Gospel music and watching TVs. Also watching football and basketball.

Qualifications of an expected friend should be any gender, a person from any country who is close to the internet access. Responsible person who is able to advise me and help me to be in a good constructive ideas.
Email: adonayapeter@gmail.com
Anyone interested, please hit me.
Halo wana blg hii,mimi nikijana wa Kitanzania,nina umri wa miaka 25,
Jina langu naitwa Erick Thomas Usiri,nina taaluma ya Uhasibu na ni muajiriwa
Wa Benki flani hapa Bongo.
Natafuta Mchumba mwenye umri chini yangu kidogo,mwenye Elimu kuanzia
Ya kidato cha nne.
Namba yangu ya simu ni:0713-723410
Barua pepe ni: herry202000@yahoo.com
Tuwasiliane mapema

Friday, February 20, 2009

NI HABARI YA KUTIA MOYO

WAPATA WACHUMBA:

Kwa heshima na taadhima nadiriki kuja mbele ya blog hii kutoa AHSANTE kwa baadhi ya wanachama/watumiaji wa blog hii kwa jinsi ambavyo wamekuwa wazi na ku-share stories zao kuhusu jinsi blog hii ilivyowasaidia kuwaunganisha na watanzania wengine duniani kote.
Ni jambo la kujivunia na kutia moyo kuona jinsi watu wanavyoitumia blog hii katika kufanikisha ndoto zao za kukutana na marafiki au wachumba ulimwenguni kote.

Hadi sasa wamefika member 16 kuomba kuondoa profile zao hapa baada ya kuonana na wenza. Hata hivyo kwa wote amabo mmekutana na muwapendao, nakuombeni mzidi ku-share stories zenu kwa wengine ambao hawajawahi kusikia wabongomeet au kama wamesikia lakini hawajatumia ili waweze kutumia. Vilevile mnazidi kukaribishwa kwa maoni tofauti ambayo yatasaidia kuendeleza na kuboresha hii huduma.

NAKUTAKIA DATING NJEMA.
Da Jose.

Wednesday, January 21, 2009

Akina dada mnazidi kukaribishwa.

Dada na wadogo zangu mnazidi kukaribishwa kwenye blog yenu kwa kujitafutia marafiki mbalimbali ulimwenguni kote. Ni jambo la kutia moyo Ms. U. Sirikwa aliponitumia ujumbe kuwa kakutana na rafikiye huko Tanzania kupitia blog hii. Hii inatia moyo ingawa ndo waanza ku-date.

Ninazidi kuhamasiha mtume ujumbe, na kwa wale wenye picha ni vizuri zaidi maana wengi wanapenda kuanza kwa kuangalia picha. Na mara nyingi mwenye picha anapata hits nyingi. Hivyo msisite kuitumia blog yenu vilivyo, nitumieni picha kwa kutumia email wabongomeet@gmail.com Profile zenu zitakuwa posted jinsi nyie mnavyopenda, nitaheshimu matakwa yenu kama nilivyofanya kwa members wengine hapa.

KARIBUNI
Da Joesphine.

Sunday, January 18, 2009

Ambaye Yuko Tayari Tuwasiliane.

JOEL FRANK.

Hi,
JE WEWE NI BINTI WA KIPARE? UNAKIJUA KIPARE? LETS CONNECT!!!!!

Naitwa Joe kwa sasa naishi na kufanya Kazi Kahama katika mgodi mmoja maarufu. Age yangu ni 29 years na elimu yangu ni degree. Mie ni Mpare lakini sikuwahi ishi upareni hivyo kipare sikijui but natamani sana kukijua mana ndio roots zangu. Kwa sababu hii na kwa sababu nyingine binafsi ndio maana nimejitokeza katika forum hii KUTAFUTA MPENZI/MCHUMBA WA KIPARE!!!!!!! Imekuwa bahati mbaya sijawahi kuwa na rafiki wa karibu wa kipare ambaye angenifaa. Naamini sehemu hii ni mahali mwafaka kupata mmoja. Wengi wetu hatujajua kuwa Technolojia imekuja kurahisisha maisha yetu hivyo tunadhani huwezi kudate kupitia internet. Kwangu mi naona ni uzamani huo mana njia yoyote ni sahihi ilimradi tu at the end of the day kuna maridhiano kati ya wawili.

Kama wewe ni binti wa kipare na unayejiamini katika maisha, una mwanga wa elimu, na unadhani una sifa zimfanyazo mwanamke wa kipare please nicheki kupitia joelamref1978@yahoo.com na utashangaa what life has in store for the two of us.

__________________________________

DAVID NGOIYA
Personal Particulars:
Profession: Land Surveyor

Date of Birth: July 1973

Nationality: Tanzania

Postal address:

P O Box 23231 DSM

Cell phone + 255 755 829398/ + 255784236682

Email:ngoiya007@yahoo.com


Saturday, January 17, 2009

Wabongo watafutao marafiki na wachumba.
Kwa mara nyingine, watanzania popote duniani mnapewa nafasi katika kutafuta marafiki na hata wachumba popote duniani. Ukijaribu kuangalia sites za wengine unakuta huduma hii inalipiwa. Sisi watanzania tunajijua linapokuja suala la uchumi, lakini hii isiwe sababu ya watu kushindwa ku-network na wengine duniani.

Blog hii bado changa, huwezi kulinganisha na wengine ambao walianza ku-blog mapema. Hata hivyo hali hii haiwezi kusababisha watu wakashindwa kuanza kutafuta marafiki na hata wachumba popote duniani.

Matusi hapa hayatavumiliwa hata kidogo. Watanzania kama watanzania tuna wajibu wa kulinda utamaduni wetu wa kuheshimiana. Kwa wale ambao watapenda kuweka picha zao hapa mnakaribishwa. Mnaweza kutuma hizo picha kwa kutumia baruapepe wabongomeetinfo@gmail.com

Mnakaribishwa wote bila ya ubaguzi wa aina yoyote ili mradi tunatunziane heshima.

Admin-Wabongomeet.