Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Wednesday, August 6, 2014

Wachumba wa Kiume - Julai 2014


SAMUEL P.

Jina langu:
Samuel
Jinsia yangu:
ME
Umri wangu:
42
Natafuta:
Mpenzi/Mke
Umri wake:
26-36
Kwa uhusiano kama:
Mpenzi/Mke
Nchi unayoishi:
Scandinavia
Umbo langu:
Mrefu, mnene kiasi
Kazi yangu:
Afya
Mshahara:
Wa kutosha
Muonekano wangu:
Kawaida ( Handsome)
Oa/Olewa:
Sijaoa
Mtoto:
Sina
Dini yangu:
Mkristo
Dini yake:
Sichagui dini
Sigara (mimi):
Sivuti
Sigara (yeye):
Asivute
Pombe (mimi):
Mnywaji wa kiasi
Pombe (yeye):
Anywe kiasi ama asinywe kabisa
Email:
Simu:

Maelezo Zaidi:
Msichana ninayependa kukutana 
naye awe mstaarabu, 
mkweli, mrembo, mwaminifu 
na mcheshi. Awe si 
mwembamba sana ama mnene sana. 
At least awe 
form 4 leaver. Napendelea movies, music, 
travelling, and reading etc

Wednesday, July 23, 2014

Wachumba wa Kike (Julai 2014)

DEBORA HAROLD

Jina langu:
Debora Harold
Jinsia yangu:
M/ke
Umri wangu:
29
Natafuta:
Mume
Umri wake:
30-39
Kwa uhusiano kama:
Mme na mke
Nchi unayoishi:
Tanzania
Elimu yangu:
Graduate
Kazi yangu:
Mwajiliwa
Elimu yake:
Diploma na kuendelea
Muonekano wangu:
Mrembo
Oa/Olewa:
Sijawahi olewa
Mtoto:
Sina ---- Yeye akiwa naye si vibaya
Dini yangu:
Mkristo aliyeokoka (TAG)
Dini yake:
Mkristo aliyeokoka asali TAG, EAGT au PCT
Sigara (mimi):
Sivuti
Sigara (yeye):
Asivute
Pombe (mimi):
Sinywi
Pombe (yeye):
Asinywe
Email:
Simu:

Maelezo Zaidi:
Tabia: Awe Mwamnifu, mcha Mungu awe 
na hofu ya Mungu ndani yake, wokovu uwe halisi 
kwenye maisha yake.

Monday, December 10, 2012

Wachumba wa Kiume (Oktoba 2012)

JAMES
Jina: James
Jinsia:
Mwanaume
Umri:
43
Natafuta:
Mchumba
Kwa uhusiano:
Kama  mchumba kisha baadae awe mke
Nchi nayoishi:
Tanzania
Elimu:
Chuo KikuuUmbo: Mnene Kiasi
Kazi yangu:
Mwalimu
Oa/olewa:
Taliki.
Yeye:
Hajawahi kuolewa
Mtoto mimi:
Ninaye mmoja
Sigara mimi:
Sivuti
Pombe mimi:
Nakunywa kiasi
Sigara yeye:
Asivute
Pombe yeye:
Awe na kiasi
Dini:
RC
Dini yake:
Mkristo
Muonekano:
Urefu wa wastani
Mtoto yeye:
Asiwe naye
Elimu yake:
Kidato  cha nne na kuendelea
Email Yangu:
jemsijoni@gmail.com
Namba ya simu:
Nitatoa baadae.

Maelezo zaidi: Napenda mwanamke mtaratibu,mwaminifu, mwenye tabia njema na awe na busara. awe mcha Mungu na upendo wa kweli na anayeipenda maisha ya familia. awe na umri kati ya miaka 24 na 35. Ambae kweli anaelewa maana ya kuwa mke, I am serious on this request. kwa aliye tayari au mwenye uhitaji kama wangu tuwasiliane kwani I am too lonely. Ukiweza kutuma na picha nitafurahi sana. 


ANAEL
Jina langu: Anael Jackob
Jinsia yangu:
Mwanaume
Umri wangu:
40
Natafuta:
Mwanamke (Urafiki)
Umri wake:
33-38
Kwa uhusiano kama:
Tutaanza kama Marafiki then Uchumba Hadi Ndoa tukiridhiana
Nchi ninayoishi:
Tanzania
Umbo langu:
Mnene Mwenye Umbo Zuri( size ya kati) Maji ya Kunde
Kazi yangu: Muajiriwa wa private company
Mshahara:
Nitamfahamisha mlengwa
Oa:
Nimeshawahi Kuoa Tuka Divorce
Mtoto: Ninao wawili wa Kike na Kiume
Dini yangu: Mkristo
Pombe:
Situmii Kabisa
Yeye nchi:
Tanzania
E-mail: anaeljackob@yahoo.com
Simu yangu:
+255767043430
Elimu yangu:
Chuo
Elimu yeye:
Minimum form four
Dini yeye:
Awe Mkristo
Kazi yeye:
Awe na kazi yeyote halali au Biashara Halali


DEO
Jina: Deo
Jnsia yangu:
Me
Umri wangu:
29
Natafututa:
Serious rafiki wa kike baadae MUNGU akipenda ndoa
Umri wake:
21-27
Nchi ninayoishi:
Tanzania, pwani.
Nchi anayoishi:
Tanzania
Dini yangu:
Mkristo-RC
Dini yake:
Mkristo
Umbo langu:
Mwembamba wastani na mrefu kiasi
Umbo lake:
Mwembamba wastani na mrefu kidogo
Elimu yangu:
Chuo kikuu
Elimu yake:
Form six na kuendelea
Pombe:
Natumia kidogo
Pombe:
Anayetumia wastani
Mtoto(mimi):
Sina mtoto
Mtoto(yeye):
Hana mtoto
Oa:
Sijawahi oa
Olewa:
Hajawahi  kuolewa
Tabia:
Awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kwa kila anachokifanya. Asiwe mdanganyifu. Awe tayari kupima afya.
E-mail yangu:
deodp2000@yahoo.com