Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Sunday, October 23, 2011

Wachumba/ Marafiki wa Kike.

Kwa wale watafutao wachumba au marafiki wa kike, jichagulie hapa:

NEEMA

Jina: Neema
Jinsia: Mke
Umri: 29
Natafuta: mchumba
Kwa uhusiano: kama rafiki kisha baadae mchumba
Nchi nayoishi: Tanzania
Elimu: Graduate
Umbo: Mnene Kiasi
Kazi yangu: huduma kwa wateja
Oa/olewa: sijawahi kuolewa.
Yeye: hajawahi kuoa
Mtoto mimi: Sina
Sigara mimi: Sifuti
Pombe mimi: sinywi
Sigara yeye: asivute
Pombe yeye: awe na kiasi
Dini: RC
Dini yake: RC
Muonekano: Mrefu na awe smart
Mtoto yeye: Akiwa naye hamna tatizo
Elimu yake: form six na kuendelea
Email Yangu: neema.gerry@yahoo.com
Maelezo zaidi.
Napenda mwanaume mtaratibu,mwaminifu na awe na busara. awe ana mcha Mungu na upendo wa kweli anayeipenda familia.Ambae kweli anaelewa maana ya kuwa kichwa cha familia Im serious on this naomba tuwe marafiki kwanza ndo tujue ya mbeleni. Atakaetuma picha yake atapewa kipaumbele. Namba ya simu nitatoa baadae.


MISHI WILLIAM.
Jina langu: Mishi
Jinsia yangu: Msichana
Umri wangu: 35
Natafuta: Rafiki/Mchumba
Kwa uhusiano kama: urafiki hatimaye mapenzi
Nchi ninayoishi: Tanzania
Umbo langu: wastani
Kazi yangu: Mauzo
Mshahara: siri yangu
Oa/Olewa: Sijaolewa
Mtoto: Sina
Dini: Mkristo Lutheran
Dini yake: Mkristo  Lutheran
Sigara: Sivuti
Sigara: Asivute
Pombe: Situmii
Pombe: Asitumie
Email: mishi.williams@yahoo.com
Simu: Later
Maelezo: Later


TINA KAMBI

Jina Langu: Tina
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: kati ya miaka 32 - 36
Natafuta: rafiki wa kiume kwa ajili ya long term relationship
Umri wake: uwe miaka kati ya 33 - 37
Jinsia ya rafiki: awe mwanaume
Nchi ninayoishi: Nipo Europe
Nchi anayoishi: awe anaishi pia nje ya Tanzania
Umbo langu: wastani
Muonekano wangu: wastani
Oa/Olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/Olewa (yeye): awe hajawahi kuoa, asiye na mke wala mchumba
Mtoto (mimi): sina mtoto
Mtoto (yeye): asiwe na watoto
Dini yangu: mkristo
Dini yake: pia awe mkristo
Sigara (mimi): sivuti
Sigara (yeye): asivute
Pombe (mimi): situmii pombe
Pombe (yeye): asiwe anakunywa pombe au awe anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
E-mail yangu: tinakambi@yahoo.com
Simu: nitampatia baada ya kufahamiana

Maelezo zaidi: Natafuta rafiki ambaye ni mpole, asiyekuwa mkali, mcheshi, mstaarabu, ambaye yupo serious na ambaye anaishi nje ya Tanzania.JACK MUSHI.
Jina: Jack
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32
Natafuta mchumba/mume
Umri wake 32-40
Uhusiano: kuoana akiniridhisha
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: wastani
Elimu yake: kuanzia kidato cha sita
Elimu yangu: chuo
Muonekano wangu: wastani
Mtoto: sina
Dini yangu: Mkristo
Sigara(mimi): sivuti
Sigara(yeye): asivute
Pombe: sinywi
Email: jack.mushil@gmail.com

Maelezo zaidi: Unaweza kuwasiliana namimi kwa email ili upate maelezo kamili. Ila mimi ni dada ambaye niko tayarikabisa kuwa mke wa mtu, nimejitunza na kujiheshimu vizuri ni Mkristo mzurinimesoma japo si sana na nimeajiriwa kwenye kampuni Fulani hapa Dar es salaa.Sina mtt na sijawahi kuolewa zaidi sana nampenda sana Mungu ninamtangulizambele kwenye hili kama uko serious unahitaji mke nitumie email tutaongea zaidina kujuana.


MARIAM
Jina langu: Mariam
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 26
Natafuta: mwanaume
Umri wake: 30-40
Kwa uhusiano kama: longtermrelationship
Nchi ninayoishi: Tanzania
Umbo langu; mnene kiasi
Kazi yangu; ya kawaida
Muonekano wangu: wa kuvutia kiasi
Mshahara: tukifahamiana
Oa/olewa: bado
Mtoto: ninaye mmoja
Dini yangu: mkristo
Dini yake: yoyote
Sigara mimi: sivuti
Sigara yeye: asivute


CLARA.
Jina langu: Clara Michael
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32 - 35
Elimu yangu: chuo kikuu
Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
Miaka yake: 33 - 38
Nchi atokayo: yoyote
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: kawaida
Umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana
Kabila yake: awe kabila yoyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
Dini yangu: mkristo
Dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
Sigara (mimi): sivuti sigara
Sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ilaasiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
Mtoto (mimi): sina
Mtoto (yeye): asiwe na watoto wala mtoto
Simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: claramichael99@yahoo.com

Maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi.


HASMAH
Jina langu: Hasmah
Jinsia yangu: mke
Umri wangu: 37
Natafuta: mwenza/mchumba
Umri wake: 40-45
Kwa uhusiano kama: nahitaji nipate mchumba baada ya kuelewana
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: Mimi ni mdada wa kibantu hivyo ni mnene kiasi chake urefu futi 5.5
Kazi yangu: Nitamjulisha ambae tutakubaliana ila nimuajiriwa ktk shirika moja hapa Dar
Muonekano wangu: Sina uhakika kama ni mrembo kwa atakae ni hitaji ila nami ni mrembo kiasi lazima nijiamini
Mshahara: Siri yangu
Oa/Olewa: Sijaolewa
Mtoto: Nina mtoto 1
Dini yangu: Muislam
Dini yake: Awe pia muislam
Sigara (mimi): Sivuti
Sigara (yeye): Si hitaji anaevuta
Pombe (mimi): Sinywi pombe
Pombe (yeye): Si hitaji anaekunywa hata kama kidogo
Email: asma.abdul25@yahoo.com
Simu: Baadae
Maelezo Zaidi:
Natafuta mchumba ila awe mtu mzima mwenye hikima,busara na upendo wa dhati na anaejua definition ya mke nini.pia kama hajamaliza starehe za dunia za kupenda wanawake asiniandikie kuna janga la ukmwi sitaki, nataka mtu wa kutulia ili tujenge maisha kwa raha na tabu
Napenda awe mrefu aliekwenda hewani kuanzia futi 6.5 na kuendele,awe mtanashati yani smart anaejipenda msafi(msisitizo) awe amesoma walau elimu ya chini awe na diploma angalau awe na kabechela hivi kwa umri huo,awe muajiriwa eidha katika shirika au serikalini kama ana mtoto mmoja sio mbaya wasizidi, awe tayari kupima ukmwi zaidi ya mara 3 ,awe muwazi mimi ni muajiriwa katika shirika moja hapa jijini dar na naingia mwaka wa pili katika chuo kimoja cha elimu ya juu kwa maelezo zaidi atakae kuwa tayari tutafahamishani


ANNAROSE.
Jina langu: annarose
Jinsia yangu: msichana
Umri wangu: 27
Natafuta: marafiki
Umri wake: 25-40
Kwa uhusiano kama: urafiki tu
Nchi unayoishi: Tz
Umbo langu: mediam
Kazi yangu: researcher
Muonekano wangu: wa kawaida sana
Mshahara: Siri yangu
Oa/Olewa: sijaolewa
Mtoto: sina
Dini yangu: mkristo -rc
Dini yake: yoyote
Sigara (mimi): sivuti Sigara
(yeye): akivuta poa
Pombe (mimi): sinywiPombe
(yeye): kidogo
Simu: baadae

NAOMI
LILY 
Jina langu: Lily
Umri wangu: 19
Natafuta: marafiki wa kuchati nao
Umri : miaka 18-30.
Napenda: maraki wa kuchati na kubadilishana mawazo, pia kushauriana kuhusu mambo mbali mbali.
Naishi: Tanzania.
Kazi: Nasoma chuo.
Dini: Mkristo.
Kinywaji: situmii kilevi cha aina yoyote
Mawasiliano: marandul@yahoo.com
Simu: baadae.
Maelezo Zaidi:
Napenda watu wanaojiheshimu, pia wanaomheshimu Mungu na kuthamini wenzao.
______________________________________________________________


HAMIDA JOHN
Jina langu: Hamida John
Jinsia yangu: Msichana/Mwanamke
Umri wangu: 30 
Natafuta: Mvulana/Mwanaume
Umri wake: 30-40
Kwa uhusiano kama: Marafiki/Long term relationship
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: Umbo la kawaida
Kazi yangu: Mwajiliwa.
Muonekano wangu: Wa kawaida.
Mshahara: Siri yangu.
Oa/Olewa: Sijaolewa
Mtoto: Sina
Dini yangu: Mwislam.
Dini yake: Dini yoyote/ sibagui dini
.Sigara (mimi): Sivuti na wala sitawahi kuvuta.
Sigara (yeye): Asiwe mvutaji
Pombe (mimi): sinywi.
Pombe (yeye): Awe anakunywa socially.Email: janeth.john@hotmail.co.uk
Simu: Nitatoa baada ya maongezi ya awali.

Maelezo Zaidi:
Mimi nina elimu ya Chuo kikuu, na ni mwajiliwa hapa Dar es slaam. Sipendi majidai, majivuno, magombano, uongo na ujanjajanja usiokuwa na maana yoyote katika mahusiano. Napenda kuogelea, kusoma vitabu na magazeti, kutembelea Parks, kusafiri, kuangalia movies, TV.LILIAN GODFREY.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
AWE MKRISTO.ELIMU KIDATO CHA SITA NA KUENDELEA.
Wasifu wake na vitu anavyopenda
ELIMU YANGU CHUO KIKUU.MKRISTO
Nchi anayoishi sasa: TANZANIA
Email: lilianmlay@yahoo.com
Simu yake: +255765857265
Sababu ya kutafuta ni:
KUPATA MTU AMBAYE ATAKAE KUWA MUME WANGU BAADAE


ANITA JOSEPH.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
Napenda rafiki mstaarabu, ambaye tutakuwa na urafiki wa kweli na wa muda mrefu.
Wasifu wake na vitu anavyopenda
Mimi ni msichana nipo single, wala sina mtoto & nipo chuo kikuu. Natafuta rafiki mstaarabu wa kubadilishana naye mawazo mana nipo lonely sana.
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: anitajoseph56@yahoo.comSimu yake: baadaye baada ya kufahamiana
Sababu ya kutafuta ni: Urafiki


KARREN JOSEPH.
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
mcha mungu
Wasifu wake na vitu anavyopenda
mcha mungu
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email: carrenjsph1@gmail.com
Simu yake: baadae
Sababu ya kutafuta ni: urafiki wa kweli


MARIAM NKUNYEPA
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
SIBAGUI KABILA WALA RANGI AWE MWENYE BUSARA NA ASIWE KIWEMBE MWENYE TAMAA NA WANAWAKE NA AWE ANAMPENDA MUNGU.
Wasifu wake na vitu anavyopenda
MIMI NAFANYA KAZI KATIKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO KAMA PERSONAL SECRETARY. NAPENDA SANA KUSIKILIZA REDIO
Nchi anayoishi sasa: TANZANIA
Email: nkunyepajane@yahoo.comSimu yake: 0754405143
Sababu ya kutafuta ni: kuoana mungu akipenda


CAROLINE NDEGEYA.
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 18-25
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
NATAFUTA RAFIKI WA KWELI AWE NA ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA
Wasifu wake na vitu anavyopenda
ELIMU YANGU KIDATO CHA NNE NAPENDELEA KUCHATI NA MARAFIKI PAMOJA NA KUTUMIANA KADI
Nchi anayoishi sasa: TANZANIA
Email: carolinendegeya @yahoo.com
Simu yake: 0764707871
Sababu ya kutafuta ni: ku-chat pamoja


IMMAQULATE.
Umri wake: 18-25
Umri wa anayemtafuta: 18-25
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
AWE MCHA MUNGU,ANAYE PENDA MUZIKI,MSOMI NGAZ YA CHUO KIKUU,MWEUPE MREFU
Wasifu wake na vitu anavyopenda
NI CHOCOLATE IN COLOUR,MREFU,NI MCHA MUNGU,NAPENDA MZIKI,ELIMU DIPLOMA IN RMA
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Simu yake: 0764736208
Sababu ya kutafuta ni: Ndoa


JANE OCTAVIAN.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 26-32
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Msichana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
Elimu ya juu, mfanyakazi, mcheshi, jinsia yoyote, sibagui kabila wala rangi, mpenda maendeleo na mcha Mungu zaidi
Wasifu wake na vitu anavyopenda
Elimu ya chuo, ni mcha Mungu, napenda kusoma biblia kuangalia tv na kusoma
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Simu yake: 0786500580
Sababu ya kutafuta ni: kuwasiliana na kujuana


KOKU.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 32-40
Anatafuta: Mchumba
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
natafuta mchumba ambaye anamcha mungu hawe na mapenzi ya dhati, hawe mwaminifu, hawe ni mtu anayependa maendeleo
Wasifu wake na vitu anavyopenda
mimi ninafanyakazi kwenye company ya mtu binafasi ni Secretary elimu yangu ni kidato cha nne, nimeokoka nampenda Yesu, napenda kusoma bible, kusikiliza kwaya, kuangalia TV, kusoma vitabu
Nchi anayoishi sasa: Tanzania
Email:kokukuteta@yahoo.comSimu yake: nitatoa baadae
Sababu ya kutafuta ni:
kuwa na mtu wa kutiana moyo katika maisha


KALEKA ABDALLAH BAKARI.
Umri wake: 26-32
Umri wa anayemtafuta: 18-25
Anatafuta: Rafiki
Jinsia anayoitaka: Mvulana
Anapenda kuwa na uhusiano na mtu mweye sifa zifuatazo
Nahitaji rafiki awe na sifa zifuatazo elimu yake kidatu cha nne nakuendelea awe na upeo wa kufikiria vipi tunaweza kukomesha umaskini pamoja na kuepukana na maambukizi ya virusi vya ukimwi hobby music pia tumkumbuke sana mungu na makatazo yake
Wasifu wake na vitu anavyopenda
Elimu yangu kidatu cha nne napenda kumkumbuka mungu,music,na kufikiria maisha yangu vipi niyaandae
Nchi anayoishi sasa: Tanzania (Zanzibar)
Email:kaleka20@yahoo.com
Simu yake: utapata
Sababu ya kutafuta ni: kubadilishana mawazo


CLARA.
Jina langu: Clara Michael
Jinsia yangu: mwanamke
Umri wangu: 32 - 35
Elimu yangu: chuo kikuu
Natafuta: rafiki mvulana kwa ajili ya long term relatioship mpaka ndoa
Miaka yake: 33 - 38
Nchi atokayo: yoyote
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: kawaida
Umbo lake: asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana
Kabila yake: awe kabila yyote, mchaga au mpare watapewa kipaumbele zaidi
Dini yangu: mkristo
Dini yake: awe mkristo, mlutheran au mkatoliki
Sigara (mimi): sivuti sigara
Sigara (yeye): asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): asiwe anakunywa au awe anakunywakidogo ila asiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): sijawahi kuolewa
Oa/olewa (yeye): awe hajawahi kuoa
Mtoto (mimi): sina
Mtoto (yeye): asiwe na watoto wala mtoto
Simu yangu: nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: claramichael99@yahoo.com

Maelezo zaidi: napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi


EMMY LYIMO
Jinsia yangu: Mwanamke
Umri wangu: 30
Natafuta: Mchumba
Umri wake: 30 - 36.
Kwa uhusiano kama: Kuoana
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: Wastani
Kazi yangu: Biashara
Muonekano wangu: Kawaida.
Mshahara: Siri yangu
Oa/Olewa: Sijaolewa
Mtoto: Sina
Dini yangu: Mkristo (RC).
Dini yake: Mkristo
Sigara (mimi): Sivuti
Sigara (yeye): Asivute
Pombe (mimi): Sinywi
Pombe (yeye): Haijarishi
Simu: baadae
Maelezo Zaidi: baadae.

ROSE
Jina: Rose
Umri: 
28
Kazi: Muajiriwa
Elimu: Diploma
Natafuta: Mtu ambaye yuko serious na relationship
Mtoto: 
Sina
Pombe: Sinywi na yeye asiwe mlevi wala asivute sigara
Mshahara: Nitautaja baadaye
Elimu yake: 
Awe na elimu ya chuo kikuuUmri wake: 32 - 34
Simu: 
Nitatoa baadaye
Kazi: 
Awe na kazi au mfanyabiashara
Email: chacharose92@yahoo.comNapenda kukutana na mtu ambaye yuko serious, mwenye upendo wa dhati, mchesi na mpenda maendeleo, na aliyetayari kupima ukimwi.

LOLA
Jina langu: Lola
Jinsia yangu: Mwanamke
Umri wangu: 30
Natafuta: Mwanaume
Umri wake: 32-38
Kwa uhusiano kama: Long Term Relationship/Marriage.
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: kimo cha wastani, maji ya kunde
Kazi yangu: Nina kazi nzuri, tena ya uhakika na maisha ya kiwango cha wastani.
Muonekano wangu: Wa kuvutia /wastani.
Mshahara: Nitausema kwa mtarajiwa
Oa/Olewa: Sijawahi kuolewa
Mtoto: Sina mtoto wala sijawahi kupata mtoto
Dini yangu: Mkristo (RC).
Dini yake: Mkristo
Sigara (mimi): Sivuti hata kidogo, wala sijawahi
Sigara (yeye): Asivute hata kidogo
Pombe (mimi): Nakunywa kiasi .
Pombe (yeye): Anywe kiasi
Email: lolamorgans82@yahoo.
Simu: Nitatoa baadaye tukishafahamiana.
Mimi ni mtanzania nimayehishi TANZANIA.
Maelezo Zaidi: Napenda kukutana na mwanamme mwaminifu kwa maneno na matendo, smart anayejipenda awe organized pia aweanakubali kushauriwa na kukosolewa awe ameajiriwa au kajiajiri. Sihitaji mwanaume ambaye yuko ku-play games coz sina muda huo. Niko tayari kupima HIV mbele yake, hopefully na yeye awe tayari kufanya hivyo if possible. Awe mpenda maendeleo, sipendi kuwa na mwanaume mwenye mawazo kukata tamaa au kutojiamini anaweza. Mimi si tajiri au maskini lakini ningependa mtu wa kunipenda as mimi and not nilivyonavyo.Napenda kusafiri, kusoma vitabu na magazeti, kutembea kwenye bustani au ufukweni mwa beach, kuangalia TV na movies, napenda pia kupika.Mengine tutawasiliana kwenye email kama uko interested. Hit me through my email.Thank you