Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Sunday, August 5, 2012

Wachumba wa Kike (Julai 2012)

JOYCE
Jina: Joyce
Jnsia yangu: Ke
Umri wangu: 29
Natafuta: Mchumba-Long term relationship
Umri wake: 29-35
Nchi ninayoishi: Tanzania( Dar es salaam)
Nchi anayoishi: Tanzania(Dar es salaam itakuwa vizuri zaidi)
Dini yangu: Mkristo-RC
Dini yake: Mkristo-
Umbo langu: mwembamba wastani
Umbo lake: mwembamba wastani na mrefu kidogo
Kabila langu: Mchaga
Elimu yangu: Chuo kikuu
Elimu yake: Chuo kikuu
Pombe: Natumia kidogo
Pombe: Anayetumia wastani/hatumii kabisa
Mtoto(mimi): Sina mtoto
Mtoto(yeye): Hana mtoto
Oa: Awe hajawahi kuoa
Olewa: Sijawahi olewa
Tabia: Awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kwa kila anachokifanya. Asiwe mdanganyifu. Awe tayari kupima afya.
E-mail yangu: joyce.philip2011@gmail.com

Wachumba wa Kiume (Juni - 2012)

 BESTY
Jina: Besty
Jinsia: Mme
Umri: ...........
Natafuta: Mchumba
Kwa uhusiano: Mchumba
Nchi nayoishi: Tanzania
Elimu: Graduate
Umbo: Mnene Kiasi na awe na uzuri halisia.
Kazi yangu: Atajua tukishakuwa pamoja
Oa/olewa: Sijawahi kuoa.
Yeye: Hajawahi kuolea.
Mtoto mimi: Sina
Sigara mimi: Sivuti
Pombe mimi:............. 
Sigara yeye: Asivute
Pombe yeye: Anywe kiasi
Dini: ...............
Dini yake: YOYOTE SIBAGUI DINI.
Muonekano: Mfupi au Mrefu kiasi na awe anajitambua
Mtoto yeye: Akiwa naye hamna tatizo
Elimu yake: Form FOUR (KIDATO CHA NNE) na kuendelea
Mawaasiliano Yangu: bestypius@rocketmail.com
Simu: +255713354389
Maelezo zaidi:NATAFUTA MCHUMBA MVUMILIVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI NA MIMI.UMBO NA UZURI HALISI ..
 
 
ALEX STANLEY
Jina: Alex Stanley
Jinsia: mwanaume
Umri: 27
Natafuta: mchumba
Kwa uhusiano: kama rafiki kisha baadae mchumba
Nchi nayoishi: Tanzania,morogoro
Elimu: Graduate,masters
Umbo: Mnene wastan
Kazi yangu: banker
Oa/olewa: sijawahi kuoa
Yeye: hajawahi kuolewa
Mtoto mimi: Sina
Sigara mimi: Zifuti
Pombe mimi: nakunywa sio sana 
Sigara yeye: asivute
Pombe yeye: awe na kiasi
Dini: RC
Dini yake: RC
Muonekano: yeyote
Mtoto yeye: asiwe na mtoto
Elimu yake: yoyote
Email Yangu: alex.stanley@ymail.com
Maelezo zaidi.
natafuta mchumba, kwa mwanamke yeyote kuanzia miaka 20-26. ningependelea zaidi atoke morogoro au mikoa mingine karibu na hapa...

Wachumba wa Kiume (Machi - April 2012)

JEFF PATTERSEN 
Jina: Jeff pattersen 
Jinsia: MME
Umri: 45
Natafuta: MKE
Kwa uhusiano: MILELE
Nchi nayoishi: Tanzania/UK/SWEDEN/DENMARK
Elimu: Graduate
Umbo: Mnene Kiasi
Kazi yangu: Daktari
Oa/olewa: separated
Mtoto mimi: Sina
Sigara mimi: Non smoker
Pombe mimi: Nakunywa moderately
Sigara yeye: Juu yake
Pombe yeye: awe na kiasi
Dini: RC
Dini yake: RC
Muonekano: Mrefu na awe smart
Mtoto yeye: Akiwa naye hamna tatizo
Elimu yake: form six na kuendelea
 
Maelezo zaidi:Napenda mke mtaratibu,mwaminifu na awe na busara. awe ana mcha Mungu na upendo wa kweli anayeipenda familia.Ambae kweli anaelewa maana ya kuwa kichwa cha familia Im serious on this. Namba ya simu nitatoa baadae.
JAMES
Jina langu: James
Jinsia yangu: mvulana
Umri wangu: 22
Natafuta: marafiki tu
Umri wake: 20-40
Kwa uhusiano kama: urafiki tu
Nchi unayoishi: Tz
Umbo langu: mediam
Muonekano wangu: wa kawaida sana
Oa/Olewa: sijaoa
Mtoto: sina
Dini yangu: mkristo 
Dini yake: yoyote
Sigara (mimi): sivuti Sigara
(yeye): asivute
Pombe (mimi): kidogo
(yeye): kidogo
Simu: baadaeGWAIPYANA DAVID
Jina: Gwaipyana David
Jinsia yangu: Mwanaume
Umri wangu: 29
Natafuta: Mchumba
Umri wake: 19 - 30
Kwa uhusiano kama: Urafiki kwanza, then baadae mengine yataendelea
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: Wastani
Kazi yangu: Nimeajiriwa
Muonekano wangu: Kawaida.
Mshahara: Siri yangu
Oa/Olewa: Sijaoa
Mtoto: Sina
Dini yangu: Mkristo
Dini yake: Yoyote
Sigara (mimi): Sivuti
Sigara (yeye): Asivute
Pombe (mimi): Sinywi
Pombe (yeye): Asinywe
Email: gipyana@gmail.com
Simu: baadae
Maelezo Zaidi: Naomba nisisitize kuwa NAANZA NA URAFIKI WA KAWAIDA TU, BAADA YA KUJUANA NDIO MENGINE YATAFUATA. Napatikana kwa email kwa sasa. Namba ya simu ni kwa watakao nitumia email.