Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Sunday, August 5, 2012

Wachumba wa Kiume (Machi - April 2012)

JEFF PATTERSEN 
Jina: Jeff pattersen 
Jinsia: MME
Umri: 45
Natafuta: MKE
Kwa uhusiano: MILELE
Nchi nayoishi: Tanzania/UK/SWEDEN/DENMARK
Elimu: Graduate
Umbo: Mnene Kiasi
Kazi yangu: Daktari
Oa/olewa: separated
Mtoto mimi: Sina
Sigara mimi: Non smoker
Pombe mimi: Nakunywa moderately
Sigara yeye: Juu yake
Pombe yeye: awe na kiasi
Dini: RC
Dini yake: RC
Muonekano: Mrefu na awe smart
Mtoto yeye: Akiwa naye hamna tatizo
Elimu yake: form six na kuendelea
 
Maelezo zaidi:Napenda mke mtaratibu,mwaminifu na awe na busara. awe ana mcha Mungu na upendo wa kweli anayeipenda familia.Ambae kweli anaelewa maana ya kuwa kichwa cha familia Im serious on this. Namba ya simu nitatoa baadae.
JAMES
Jina langu: James
Jinsia yangu: mvulana
Umri wangu: 22
Natafuta: marafiki tu
Umri wake: 20-40
Kwa uhusiano kama: urafiki tu
Nchi unayoishi: Tz
Umbo langu: mediam
Muonekano wangu: wa kawaida sana
Oa/Olewa: sijaoa
Mtoto: sina
Dini yangu: mkristo 
Dini yake: yoyote
Sigara (mimi): sivuti Sigara
(yeye): asivute
Pombe (mimi): kidogo
(yeye): kidogo
Simu: baadaeGWAIPYANA DAVID
Jina: Gwaipyana David
Jinsia yangu: Mwanaume
Umri wangu: 29
Natafuta: Mchumba
Umri wake: 19 - 30
Kwa uhusiano kama: Urafiki kwanza, then baadae mengine yataendelea
Nchi unayoishi: Tanzania
Umbo langu: Wastani
Kazi yangu: Nimeajiriwa
Muonekano wangu: Kawaida.
Mshahara: Siri yangu
Oa/Olewa: Sijaoa
Mtoto: Sina
Dini yangu: Mkristo
Dini yake: Yoyote
Sigara (mimi): Sivuti
Sigara (yeye): Asivute
Pombe (mimi): Sinywi
Pombe (yeye): Asinywe
Email: gipyana@gmail.com
Simu: baadae
Maelezo Zaidi: Naomba nisisitize kuwa NAANZA NA URAFIKI WA KAWAIDA TU, BAADA YA KUJUANA NDIO MENGINE YATAFUATA. Napatikana kwa email kwa sasa. Namba ya simu ni kwa watakao nitumia email.

No comments:

Post a Comment