Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Sunday, August 5, 2012

Wachumba wa Kike (Julai 2012)

JOYCE
Jina: Joyce
Jnsia yangu: Ke
Umri wangu: 29
Natafuta: Mchumba-Long term relationship
Umri wake: 29-35
Nchi ninayoishi: Tanzania( Dar es salaam)
Nchi anayoishi: Tanzania(Dar es salaam itakuwa vizuri zaidi)
Dini yangu: Mkristo-RC
Dini yake: Mkristo-
Umbo langu: mwembamba wastani
Umbo lake: mwembamba wastani na mrefu kidogo
Kabila langu: Mchaga
Elimu yangu: Chuo kikuu
Elimu yake: Chuo kikuu
Pombe: Natumia kidogo
Pombe: Anayetumia wastani/hatumii kabisa
Mtoto(mimi): Sina mtoto
Mtoto(yeye): Hana mtoto
Oa: Awe hajawahi kuoa
Olewa: Sijawahi olewa
Tabia: Awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu kwa kila anachokifanya. Asiwe mdanganyifu. Awe tayari kupima afya.
E-mail yangu: joyce.philip2011@gmail.com

No comments:

Post a Comment