Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Wednesday, July 23, 2014

Wachumba wa Kike (Julai 2014)

DEBORA HAROLD

Jina langu:
Debora Harold
Jinsia yangu:
M/ke
Umri wangu:
29
Natafuta:
Mume
Umri wake:
30-39
Kwa uhusiano kama:
Mme na mke
Nchi unayoishi:
Tanzania
Elimu yangu:
Graduate
Kazi yangu:
Mwajiliwa
Elimu yake:
Diploma na kuendelea
Muonekano wangu:
Mrembo
Oa/Olewa:
Sijawahi olewa
Mtoto:
Sina ---- Yeye akiwa naye si vibaya
Dini yangu:
Mkristo aliyeokoka (TAG)
Dini yake:
Mkristo aliyeokoka asali TAG, EAGT au PCT
Sigara (mimi):
Sivuti
Sigara (yeye):
Asivute
Pombe (mimi):
Sinywi
Pombe (yeye):
Asinywe
Email:
Simu:

Maelezo Zaidi:
Tabia: Awe Mwamnifu, mcha Mungu awe 
na hofu ya Mungu ndani yake, wokovu uwe halisi 
kwenye maisha yake.

No comments:

Post a Comment