Dada na wadogo zangu mnazidi kukaribishwa kwenye blog yenu kwa kujitafutia marafiki mbalimbali ulimwenguni kote. Ni jambo la kutia moyo Ms. U. Sirikwa aliponitumia ujumbe kuwa kakutana na rafikiye huko Tanzania kupitia blog hii. Hii inatia moyo ingawa ndo waanza ku-date.
Ninazidi kuhamasiha mtume ujumbe, na kwa wale wenye picha ni vizuri zaidi maana wengi wanapenda kuanza kwa kuangalia picha. Na mara nyingi mwenye picha anapata hits nyingi. Hivyo msisite kuitumia blog yenu vilivyo, nitumieni picha kwa kutumia email wabongomeet@gmail.com Profile zenu zitakuwa posted jinsi nyie mnavyopenda, nitaheshimu matakwa yenu kama nilivyofanya kwa members wengine hapa.
KARIBUNI
Da Joesphine.
No comments:
Post a Comment