Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Sunday, January 18, 2009

Ambaye Yuko Tayari Tuwasiliane.

JOEL FRANK.

Hi,
JE WEWE NI BINTI WA KIPARE? UNAKIJUA KIPARE? LETS CONNECT!!!!!

Naitwa Joe kwa sasa naishi na kufanya Kazi Kahama katika mgodi mmoja maarufu. Age yangu ni 29 years na elimu yangu ni degree. Mie ni Mpare lakini sikuwahi ishi upareni hivyo kipare sikijui but natamani sana kukijua mana ndio roots zangu. Kwa sababu hii na kwa sababu nyingine binafsi ndio maana nimejitokeza katika forum hii KUTAFUTA MPENZI/MCHUMBA WA KIPARE!!!!!!! Imekuwa bahati mbaya sijawahi kuwa na rafiki wa karibu wa kipare ambaye angenifaa. Naamini sehemu hii ni mahali mwafaka kupata mmoja. Wengi wetu hatujajua kuwa Technolojia imekuja kurahisisha maisha yetu hivyo tunadhani huwezi kudate kupitia internet. Kwangu mi naona ni uzamani huo mana njia yoyote ni sahihi ilimradi tu at the end of the day kuna maridhiano kati ya wawili.

Kama wewe ni binti wa kipare na unayejiamini katika maisha, una mwanga wa elimu, na unadhani una sifa zimfanyazo mwanamke wa kipare please nicheki kupitia joelamref1978@yahoo.com na utashangaa what life has in store for the two of us.

__________________________________

DAVID NGOIYA
Personal Particulars:
Profession: Land Surveyor

Date of Birth: July 1973

Nationality: Tanzania

Postal address:

P O Box 23231 DSM

Cell phone + 255 755 829398/ + 255784236682

Email:ngoiya007@yahoo.com


2 comments:

  1. BABA, UNATAFUTA KAZI AU RAFIKI? HIKI NI KIBURI TU NA HAKINA MAANA!!

    ReplyDelete
  2. e bwana vp ww??? ni uingineer una kudrive kiasi hicho?? hapa wa2 wanatafuta marafiki na cio kazi. CV for wat? just a degree holder its enough!!!

    ReplyDelete