Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.







Saturday, August 15, 2009

Watafutao wachumba/ Marafiki katika picha.



Name: ADONAYA PETER.
I'm a boy aged 28years old, educated Information Technology (IT), employed as a teacher at Mtwango Secondary School for two years now. I'm interested to chat, read novels, listen to Gospel music and watching TVs. Also watching football and basketball.

Qualifications of an expected friend should be any gender, a person from any country who is close to the internet access. Responsible person who is able to advise me and help me to be in a good constructive ideas.
Email: adonayapeter@gmail.com
Anyone interested, please hit me.
















Halo wana blg hii,mimi nikijana wa Kitanzania,nina umri wa miaka 25,
Jina langu naitwa Erick Thomas Usiri,nina taaluma ya Uhasibu na ni muajiriwa
Wa Benki flani hapa Bongo.
Natafuta Mchumba mwenye umri chini yangu kidogo,mwenye Elimu kuanzia
Ya kidato cha nne.
Namba yangu ya simu ni:0713-723410
Barua pepe ni: herry202000@yahoo.com
Tuwasiliane mapema

































6 comments:

  1. Kabale, elimu yako iko vipi?

    ReplyDelete
  2. Sister mimi nahitaji mchumba raia wa Ulaya awe bomba na mwenye heshima niko seriouz i need u help +255 774 414200

    ReplyDelete
  3. mie neema matemba 27 yrs,nipo tanzania,natafuta mchumba wa kuoana naye,naishi dar es salam pande za tabata,elimu yangu ni kidato cha nne,certificate ya IT,sina mtoto wala sijawahi kuolewa,napenda awe mkristo,asinwe pombe,awe ana upendo wa kweli,napendelea sana kutumia computer,play com games,movies,tamthilia,kula vizuri,umbo langu ni mnene kidog siyo sana wa kutisha,kwa aliye tayari tuwasiliane kwa email,neemakarimu@yahoo.com au neema_albert@yahoo.com au neemaalbert@gmail.com

    ReplyDelete
  4. Naitwa bernard naishi Dar es salaam( mburahait) elimu yangu kidato cha nne na tafuta mchumba wa maisha pia awe mwenye mapenzi yakweli contact me gsteven76@yahoo.com +255718948633

    ReplyDelete
  5. HELOO MIMI NAITWA NOELL NIPO DAR ES SALAAM. NATAFUTA MCHUMBA. MIMI NINAUMRI WA MIAKA 23 AWE MKRISTO.NA ASIWE MNYWA POMBE AU MVUTA SIGARA.ELIMU YANGU NI KIDATO CHA NNE. NA AWE MKWELI KATIKA MAPENZI,IKIWEMO MAPENZI YA KWELI.NOMBA YANGU YA SIMU NI 0655 015461/0762040480/AU BARUA PEPE noellsaidi@yahoo.com BARUA ZOTE ZITAJIBIWA. ONYO SIITAJI MTU WA MTU WAKUNIBIPU/AU WAKUNISUMBUA ASANTE KWA MWENYE BLOG HII

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete