Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.







Tuesday, October 19, 2010

Wabongomeet Dot Com iko jikoni.

Wapenzi wa blog ya wabongmeet (wabongomeet.blogspot.com) pamoja na watanzania wengine popote walipo. Napenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na Overhaul ya hii blog pamoja na ufunguzi wa website nyingine itakayojulikana kama www.wabongomeet.com

Hii site mpya itakuwa na feauters nyingi kuliko hii blog. Vilevile tutaweza kupokea picha kwa wale ambao watapenda ku-post pics. Hiyo site si kwa ajili ya kutafuta wachumba pekee yake bali hata rafiki wa kawaida. Nitajaribu kuweka applications salama ambazo ni muhimu kwenye Social Networking Media yoyote.

..................Stay.....Tunes..........................

No comments:

Post a Comment