Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.







Wednesday, August 6, 2014

Wachumba wa Kiume - Julai 2014


SAMUEL P.

Jina langu:
Samuel
Jinsia yangu:
ME
Umri wangu:
42
Natafuta:
Mpenzi/Mke
Umri wake:
26-36
Kwa uhusiano kama:
Mpenzi/Mke
Nchi unayoishi:
Scandinavia
Umbo langu:
Mrefu, mnene kiasi
Kazi yangu:
Afya
Mshahara:
Wa kutosha
Muonekano wangu:
Kawaida ( Handsome)
Oa/Olewa:
Sijaoa
Mtoto:
Sina
Dini yangu:
Mkristo
Dini yake:
Sichagui dini
Sigara (mimi):
Sivuti
Sigara (yeye):
Asivute
Pombe (mimi):
Mnywaji wa kiasi
Pombe (yeye):
Anywe kiasi ama asinywe kabisa
Email:
Simu:

Maelezo Zaidi:
Msichana ninayependa kukutana 
naye awe mstaarabu, 
mkweli, mrembo, mwaminifu 
na mcheshi. Awe si 
mwembamba sana ama mnene sana. 
At least awe 
form 4 leaver. Napendelea movies, music, 
travelling, and reading etc