Hii site mpya itakuwa na feauters nyingi kuliko hii blog. Vilevile tutaweza kupokea picha kwa wale ambao watapenda ku-post pics. Hiyo site si kwa ajili ya kutafuta wachumba pekee yake bali hata rafiki wa kawaida. Nitajaribu kuweka applications salama ambazo ni muhimu kwenye Social Networking Media yoyote.
..................Stay.....Tunes..........................