Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Monday, December 10, 2012

Wachumba wa Kiume (Agosti 2012)

FRED.

Jina langu: Fred Noah
Jinsia yangu: Mwanaume
Umri wangu: 25 - 28
Elimu yangu: Chuo kikuu
Natafuta: Rafiki msichana kwa ajili ya long term relationship
Miaka yake: 20-24
Nchi atokayo: Yoyote
Nchi ninayoishi: Tanzania
Muonekano wangu: Kawaida
Umbo lake: Asiwe mnene sana, wala asiwe mrefu sana
Kabila yake: Awe kabila lolote
Dini yangu: Mkristo
Dini yake: Awe mkristo, mkatoliki
Sigara (mimi): Sivuti sigara
Sigara (yeye): Asiwe mvutaji wa sigara
Pombe (mimi): Sinywi pombe hata kidogo
Pombe (yeye): Asiwe anakunywa au awe anakunywa kidogo ila asiwe mlevi
Oa/olewa (mimi): Sijawahi kuoa
Oa/olewa (yeye): Awe hajawahi kuolewa
Mtoto (mimi): Sina
Mtoto (yeye): Asiwe na watoto wala mtoto
Simu yangu: Nitatoa baadaye tukifahamiana zaidi
E-mail yangu: fred052@yahoo.com
Maelezo zaidi: Napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati , mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia bora iliyojaa upendo. awe tayari kupima ukimwi


GIFT
Jina: Gift Msummari
Jinsia:
Mme
Umri:
27
Natafuta:
Mchumba
Kwa uhusiano:
Milele
Nchi nayoishi:
Tanzania
Elimu:
Advanced Diploma
Umbo:
Mrefu kiasi
Kazi yangu:
Graphics Designer
Oa/olewa:
Sijaoa
Mtoto mimi:
Sina
Sigara mimi:
Non smoker
Pombe mimi:
Nakunywa kidogo
Sigara yeye:
Asivute
Pombe yeye:
Awe na kiasi
Dini:
Mkristo, mlutheri
Dini yake:
Yeyote
Muonekano:
Awe wa kawaida
Mtoto yeye:
Akiwa naye hamna tatizo(asizidi mmoja)
Elimu yake:
Form four na kuendelea
Email Yangu:
giftsum2012@gmail.com

Maelezo: Napenda rafiki mstaarabu, mpole, mwenye hekima na busara. Pia
awe na malengo kwa ajili ya maisha ya baadaye, asiyekuwa muasherati ,
mwenye upendo wa kweli pia mwenye nia ya kujenga na kuwa na familia
bora iliyojaa upendo.No comments:

Post a Comment