Karibuni kwenye Wabongomeet Blog

Jitafutie rafiki na mchumba hapa Wabongomeet.....


Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao, tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com Nakaribisha maswali pamoja na maoni yenu.Monday, December 10, 2012

Wachumba wa Kiume (Septemba 2012)

HABAT
Jina: Habat  Elly
Jinsia:
Mme
Umri:
36
Natafuta:
Mchumba/mke
Umri wake:
28-33
Nchi ninayoishi:
Tanzania
Nchi anayoishi:
Tanzania
Dini yangu:
Mkristo lutheran
Dini yake:
Mkristo
Umbo lake: Asiwe mnene sana
Elimu yangu:
Chuo kikuu
Elimu yake:
Kidato cha nne
Kazi yangu:
Mwajiriwa serikalini
Kazi yake:
Awe mwalimu
Oa:
Sijaoa
Olewa: 
Hajawahi kuolewa
Pombe:
Situmii
Pombe:
Asitumie
Tabia:
Awe mstarabu anayejiheshimu,mwadilifu na muaminifu.aliye na utayari wa kuingia kenye ndoa.
Email:  faithelia@ymail .com
Simu:
Tukishafahamiana
No comments:

Post a Comment